Intro…
Side B baby, Blah!
Eeeh…
Yule Mluhya wa Bu bu bu bu bu Busiaaaaa eeh….
Yule Mluhya wa, niko na Ulopa Ngomaaa eeh….
Twende!
Hook,
Mmmh, Gugugaga gugugaga
Mmmh, Gugugaga gugugaga…
Verse One:
So we are going for a summer holiday, won’t you come with me,
We’re doing Kisumu, Busia City, baby won’t come with me,

Come with me, tukatembelee mama mzazi come with me,

Chorus:
Umeniwahi Umeniwahi Umeniwahi si unajua nakudai,
Si unajua nakudai nakudai baby gal, baby umeniwahi,
Baby Umeniwahi Umeniwahi baby gal si unajua nakudai,

Wahi baby gal, Umeniwahi baby gal
Wahi baby gal, Umeniwahi baby gal….
Verse Two:
Nikikupata mimi sitahema na mimi sitacheza nitakwama na wewe tu,
Toka January to December bado wewe ni member ndani ya moyo yangu tu

Hook:
Mmmmh, gugugaga gugugaga, unanifanya mi nabonga gugugaga
Mmmmh, gugugaga gugugaga, unanifanya mi nabonga gugugaga
Chorus:
Umeniwahi Umeniwahi Umeniwahi si unajua nakudai,
Si unajua nakudai nakudai baby gal, baby umeniwahi,
Baby Umeniwahi Umeniwahi baby gal si unajua nakudai,
Si unajua nakudai nakudai baby gal, baby umeniwahi,
Wahi baby gal, Umeniwahi baby gal
Wahi baby gal, Umeniwahi baby gal….
Verse Three:
I got a lot of, things to say to say to my baibe,
(To my baibe)
I got a lot of, things to tell you my gal,
(My gal)
Hook,
Mmmmh, gugugaga gugugaga, unanifanya mi nabonga gugugaga
Mmmmh, gugugaga gugugaga, unanifanya mi nabonga gugugaga
Chorus:
Umeniwahi Umeniwahi Umeniwahi si unajua nakudai,
Si unajua nakudai nakudai baby gal, baby umeniwahi,
Baby Umeniwahi Umeniwahi baby gal si unajua nakudai,
Si unajua nakudai nakudai baby gal, baby umeniwahi,
Wahi baby gal, Umeniwahi baby gal
Wahi baby gal, Umeniwahi baby gal….
Outro
(Wahi baby gal, umeniwahi baby gal) x4